Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Ushuhuda wa Agrey Hezron Polepole

MIMI NI MKRISTO

Kuwa Mkristo ni kubatizwa na kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Je, ni hivyo tu? Kupitia mahojiano na watu mbali mbali tutajifunza kutoka kwao, waliwezaje kuwa Wakristo na kudumu katika Imani na Wokovu wake Yesu Kristo. Utajifunza kupitia ushuhuda wao na jinsi wanavyoishi maisha ya Kikristo.

Ushuhuda wa Agrey Hezron Polepole

Cathbert Msemo

Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya vizazi vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza mahali palipobomoka; na, Mwenye kurejeza njia za kukalia.
— Isaya 58:12

Tukiwa wadogo nyumbani tulikuwa tunasali na kusoma neno la Mungu. Baadaye wakati wa ukuaji wangu, nilianguka katika dhambi, baada ya kujikuta nimempenda sana msichana badala ya kumpenda Mungu. Namshukuru Mungu niligundua kuwa nilizembea kwenye eneo la maombi na hii ilikuwa shida kubwa mpaka mimi kuanguka. Kwa neema yake niliokoka katika vipindi vya Ukwata nikiwa shuleni. Baada ya kuokoka nilipata mwamko mkubwa na kuwa kiongozi na kuwasaidia vijana wengine kuingia kwa Yesu. Nimetumika pia kama mwalimu wa watoto na kiongozi wa vijana, pia kama mwimbaji kanisani. Soma Biblia imenipa uwanja mpana zaidi wa kumtumikia Mungu katika kazi yangu ya msimamizi wa tawi hapa Mbeya. Huu ni ushuhuda wa Agrey Polepole anaeleza safari ya maisha yake ya Ukristo. Ni ushuhuda mzuri. Karibu kusikiliza

150695693_3796984487035814_8580635497528081801_n.jpg