Uongozi wa Usharika
Wachungaji wengi wanaona usimamizi wa usharika unapoteza sana muda. Kitabu hiki kinatoa mbinu za usimamizi.
Jenga Daraja - Mahubiri ya Neno la Mungu
Mahubiri ya Injili huhitaji maandalizi. Pata mashauri mazuri mengi ya kujenga daraja kutoka Neno la Mungu mpaka mioyo ya wasikilizaji.