TWENDE Toleo la Tatu

Toleo hili la TWENDE No. 3 mwaka 2016 limebeba habari njema juu ya ”Mwokozi wa ulimwengu”. Ni mafundisho mazuri kwa watoto na vijana kuweza kumjua Yesu Kristo aliye mwokozi pekee katika maisha yetu. Kuna picha nzuri za kuvutia, michoro, katuni-Tunu na Tuzo, simulizi tamu  kutoka kwenye Biblia na nyimbo, vyote vikifafanua alivyo Mwokozi wa ulimwengu.

 

Gazeti linapatikana katika maduka yetu yote; Soma Biblia Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya na Iringa.

Previous
Previous

"Majina ya Mungu", RIZIKI toleo la tatu

Next
Next

Katika yeye tuna Ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi