"Majina ya Mungu", RIZIKI toleo la tatu

Lengo la gazeti la RIZIKI ni kuwapa wachungaji na wainjilisti majibu na maoni juu ya mada mbali mbali kutoka kwenye Neno la Mungu. Na kuwatia moyo na kuwapa msukumo wa kufikisha mahubiri.

Gazeti la RIZIKI ni bure kwa ajili ya wachungaji na wainjilisti. Toleo hili la tatu, unaweza pia kusoma hapo hapo.

Karibu kusoma!

Previous
Previous

Duka la Soma Biblia Arusha – eneo jipya

Next
Next

TWENDE Toleo la Tatu