"Tumwabudu Mungu Wetu" inapatikana sasa

tumwabudu mungu wetu_2018.jpg

Kitabu cha Nyimbo na Liturgia cha KKKT, Tumwabudu Mungu Wetu, kinapatikana sasa katika kila tawi la Soma Biblia: Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya na Iringa. Vilevile inapatikana kwa kupitia magari yetu ya usambazaji.

Bei 12 000 Tsh. 

Previous
Previous

TUMEJIFUNZA NA TUMEBURUDIKA - SEMINA YA WATUMISHI WA SOMA BIBLIA

Next
Next

"...mwishindanie imani"