"...mwishindanie imani"

RIZIKI ni gazeti linalotolewa kwa wafanyakazi wa kanisa, hasa wachungaji na wainjilisti. Linatolewa mara nne kwa mwaka. Ni bure, na linasambazwa kwa njia tofauti: posta, mtandao au barua pepe. 

Kama ungependa kutumwa kila toleo la RIZIKI, uwasiliane nasi kwa njia ya barua pepe: editor.somabiblia@gmail.com au weka comment yako gente jina na anuani hapo chini. 

Previous
Previous

"Tumwabudu Mungu Wetu" inapatikana sasa

Next
Next

Mwongozo wa kusoma Biblia kwa kudownload