Namwamini Yesu Kristo - RIZIKI toleo la 3 2018

Amini unachokiri

Toleo hili la RIZIKI tunaangalia sehemu ya pili ya Imani ya Mitume; Namwamini Yesu Kristo. Tunakumbushana kwa kutafakari maana ya maneno haya. Tunapokiri kwamba namwamini Yesu, ina maana maisha yetu yamejengeka ndani ya msingi ambao ni Yesu Kristo. Pia tunakutana na mtu ambaye hapo kwanza alionekana kuwa na mashaka ya kutokuamini. Lakini alipopata ushahidi na uthibitisho, alipiga hatua moja zaidi mbele ya wenzake, yaani, kumwabudu Yesu kama Mungu wake na Bwana wake. 

Soma RIZIKI hapa

Previous
Previous

Twende toleo no. 3, 2018 linapatikana sasa

Next
Next

TUMEJIFUNZA NA TUMEBURUDIKA - SEMINA YA WATUMISHI WA SOMA BIBLIA