Furahia mpango wa kusoma Biblia 'Soma Biblia Kila Siku 1'

Inawezekana kila wakati unatamani kusoma Biblia lakini unashindwa kuweka mpango kamili wa kusoma na kupata ufafanuzi wa somo husika.

Soma Biblia kila siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Mpango huu unapatikana kupitia link hii https://www.bible.com/sw/reading-plans/13672?ret=1

Ni mpango unaokupa urahisi wa kujua Neno la Mungu kulitafakari siku kwa siku na kulitumia kwenye maisha yako.

You - version 320 x 320 2.jpg
Previous
Previous

RIZIKI TOLEO LA 1, 2019 - 'Ukristo ni utamaduni au imani?'

Next
Next

Twende toleo la 4, 2018 linapatikana