Kalenda ya Ukutani 2021 inapatikana

Mwaka mpya 2021 unakaribia. Umeshanunua kalenda ya ukutani? Soma Biblia tumekuandalia kalenda nzuri sana. Karibu kununua katika maduka yetu ya Soma Biblia. Bonyeza link upate taarifa ya namna ya kufika dukani kwetu Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza au Iringa

Kujua bei bonyeza hapa na angalia wall calendar 2021

Calender wall 2021 new file for printing-1.jpg
Previous
Previous

Twende Toleo la #4, 2020 linapatikana

Next
Next

SOMA BIBLIA KILA SIKU kwenye YOUVERSION