"Imani ijaribiwapo" - RIZIKI toleo #3, 2017

Mimi na wewe tunaweza kuwa na maswali mengi yanayosumbua imani yetu na kututilia wasiwasi mwingi wa kiroho; tunaweza kufadhaika sana na kukata tamaa ya kufika mbinguni; hata tunaweza kujisikia kan kwamba tumepoteza imani cabina nato haipo. Lakini Yesu hajaondoka.

Gazeti RIZIKI toleo la tatu, 2017, linapatikana sasa. Na katika toleo hili la RIZIKI tutaelezea zaidi kuhusu Mkristo anapohangaika moyoni kwa sababu imani yake inajaribiwa.

Ukipenda kusoma na kupakua nakala yako, bonyeza hapa.

Previous
Previous

Shindano la uandishi wa kitabu kwa vijana

Next
Next

Siku kuu ya watoto