Katikati ya Majambazi
Marie Monsen alikuwa mmishenari nchini China wakati wa uamsho, na majambazi walimkamata. Soma historia yake ya kusisimua!
Katika Moto wa Tanuru
Hadithi ya kweli ya Mama Tsehay Tolessa kutoka Ethiopia, aliyeteswa sana kwa ajili ya imani yake. Ushindi wake ni wa kutia moyo Wakristo wote.
Mtoto wa Amani
Miaka 50 tu iliyopita Wasawi walikula nyama ya adui zao - mpaka Yesu alipowapatanisha na kuwapa amani. Hadithi ya ajabu, lakini ya kweli!