Twende
Gazeti la Kikristo kwa Watoto na Vijana. Kupitia gazeti hili, tunapenda kufundisha Watoto na vijana Injili ya uzima wa milele ndani ya Yesu Kristo.
TWENDE inatolewa mara nne kwa mwaka.
Bei: 1000 Tsh kwa nakala moja
Wasiliana nasi:
Simu: 0759 544 917
P.O.Box 2696, Arusha, Tanzania
Barua pepe: layout.somabiblia@gmail.com