Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

2. Anguko la dhambi 2

URITHI WA ADAMU MICHEZO YA REDIO

2. Anguko la dhambi 2

Editor Soma Biblia

Shetani hakuwapenda kabisa Adamu na Eva. Basi akaweka mpango wa kuvunja upendo wa mwanadamu kwa Mungu. Adamu na Eva walikuwa na vyote walivyohitaji. Walikuwa na mahali pazuri pa kuishi, walikuwa na chakula, walikuwa na usalama, lakini maneno matamu ya ulaghai ya Nyoka yalimpa ya tamaa kupata zaidi, wangeweza kuangalia juu na kuwa kama Mungu. Eva na Adamu wakachuma lile tunda wakala. Adamu na Eva wakafukuzwa kutoka katika bustani ya Eden. Masikini Adamu na Eva wakatengwa na Mungu wakawa kama tawi linavyoanguka kutoka katika mti na kufa, dhambi inatutenga na Mungu, na tusipokuwa na Mungu tutakufa. Lakini Mungu wetu ameandaa mpango wa kumuokoa mwanadamu.

AngukoLaDhambi_Radio_02.jpg