Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2

"Sawa nimeelewa Mungu ananipenda, na anapenda kuwa rafiki yangu, lakini mbona sioni kabisa upendo wake katika maisha yangu?" Tunafahamu kwamba tuna shida mbalimbali katika maisha yetu. Shida ya uchumi ni rahisi kutambua, na wengi wanapambana kila siku ili wapate hata kidogo tu cha kulisha familia. Kwa nini Mungu haoni hali hii na kunisaidia kama ananipenda?Tuko katika maada ngumu sana na haina jibu kwa rahisi.

Kusikiliza, unaweza kubonyeza "play" hapa chini, au kudownload na kusikiliza muda wowote na kushirikisa kwa wengine.

Anakupenda kwa sababu alikuumba
Soma Biblia

Kusikiliza kwa njia ya Youtube, bofya hapa 

Previous
Previous

Kupendwa na Mungu - Wanawake wa Imani Kip #1

Next
Next

Yesu anapiga hodi kwako - Wanawake wa Imani Kip. #3