Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Yesu anapiga hodi kwako - Wanawake wa Imani Kip. #3

Wanawake wa Imani

Sisi wanawake hupenda kuongea na kujadili mambo yanayotuhusu hata yale ya ndani zaidi, kama yale hisia, tamaa, matakwa na hofu zetu. Na jambo jema zaidi ni uhusiano wetu na Mungu. Kupitia kipindi hiki cha Wanawake wa Imani, utasikia mazungumzo yanayo kusudia mambo hayo. Kipindi chetu, kitahitaji utulivu zaidi, ili Mungu apate kuongea nasi kwa maana ndivyo anavyotaka kweli. Tunaposikiliza asemavyo katika Neno lake, Biblia, tunapata kujifahamu vizuri zaidi, na kujua mapenzi yake kwenye maisha yetu ya kila siku. Hivyo tunakuwa Wanawake wa Imani.

Yesu anapiga hodi kwako - Wanawake wa Imani Kip. #3

Anne Gihlemoen

Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.” Uf. 3,20.

Huu mstari unaongelea Yesu. Ni Yesu anayesimama mlangoni na kubisha. Anakuita! Amekuja kukutafuta pale ulipo. Anabishahodi kwako. Si kwa jirani. Kwako. Anataka kuingia. Inaonekana kwamba haondoki mara akiona hakuna jibu. Ana haja kweli, na anaendelea kupiga hodi. 

- Mpendwa msikiliaji – Umemsikia? Tega sikio sasa, umsikie leo.

Ili kusikiliza kwa njia ya Youtube, bofya hapa.