Amani ya Imani
Unamwamini Yesu, lakini je, unasikia amani? Jifunza Mungu anavyoona hali yako. Kitabu kinasaidia kupata furaha na amani ya imani.
Mungu Akomboa
Hatua kwa hatua ukombozi wa Mungu unafafanuliwa, mwandishi akilenga msomaji atambue na kutathmini upendo wa Mungu.
Wokovu - Maana na Matokeo
Kitabu kinasaidia kujua wokovu ni nini, kuchagua njia ya kweli, na kuishi inavyotarajiwa baada ya kuokoka. Ushuhuda wa mwandishi upo pia.