Mungu Akomboa
Hatua kwa hatua ukombozi wa Mungu unafafanuliwa, mwandishi akilenga msomaji atambue na kutathmini upendo wa Mungu.
Wokovu - Maana na Matokeo
Kitabu kinasaidia kujua wokovu ni nini, kuchagua njia ya kweli, na kuishi inavyotarajiwa baada ya kuokoka. Ushuhuda wa mwandishi upo pia.
Njia ya Wokovu
Njia ni nyingi, moja tu ni ya wokovu. Je, umeiona na kuienda? Kitabu hiki kinabainisha jinsi Yesu alivyo njia hiyo. Hufaa kwa ‘Bible study’.