Kanisa la Kidiakonia
Kitabu kinaeleza maana ya diakonia na kuonyesha changamoto zilizopo kanisani leo. Lengo lake ni kuuwezesha usharika kuwa mjumbe wa diakonia.
Utunzaji wa Kichungaji
Jifunza utunzaji wa watu wenye matatizo kupitia mifano hai 10. Mwandishi anaijadili kwa faida zaidi. Sehemu ya 2 ya vitabu viwili mfululizo.
Jenga Daraja - Mahubiri ya Neno la Mungu
Mahubiri ya Injili huhitaji maandalizi. Pata mashauri mazuri mengi ya kujenga daraja kutoka Neno la Mungu mpaka mioyo ya wasikilizaji.