Riziki ni Gazeti la Kikristo kwa Wachungaji na Watumishi wa Kanisa

Hutolewa mara nne kwa mwaka. Gazeti hili limewalenga Wainjilisti na Wachungaji, lakini pia ni nzuri kwa wote wanaotafuta mafundisho mazuri katika maisha yao ndani ya kristo. Lengo kuu la RIZIKI ni kuhamasisha na kufundisha wote wanaopeleka neno kwa watu, na kufikisha neno kwa usahihi wote ili kuwajenga watu.

Kujiunga na RIZIKI, tafadhali jaza fomu hapo chini, au wasiliana nasi kupitia simu au barua, na tutakufikia popote ulipo.

RIZIKI SOMA BIBLIA
0759 544 917
S.L.P. 2696 Arusha, Tanzania