Katikati ya Majambazi
Marie Monsen alikuwa mmishenari nchini China wakati wa uamsho, na majambazi walimkamata. Soma historia yake ya kusisimua!
Mtoto wa Amani
Miaka 50 tu iliyopita Wasawi walikula nyama ya adui zao - mpaka Yesu alipowapatanisha na kuwapa amani. Hadithi ya ajabu, lakini ya kweli!