Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

16. Urithi 1

URITHI WA ADAMU MICHEZO YA REDIO

16. Urithi 1

Anne Gihlemoen

Siku zimepita baada ya Bwana Yesu kuzaliwa. Naye aliendelea kukua katika hekima na kimo akimpendeza Mungu na wanadamu. Alipita sehemu zote za Israeli akifundisha neno la Mungu na kuponya wenye magonjwa. Habari ya miujiza ya Bwana Yesu ilienea kila mahali. Wengi walimpokea, lakini wapo waliochukizwa na mafundisho yake, wengine walikuwa na wivu na hata woga kwa madaraka yao.  Mafundisho yake yalileta mabadiliko makubwa na ukombozi kwa wengi. Yesu alifanyaje kazi hiyo? Ni katika sehemu hii unapata kusikia mengi kuhusu huduma ya Yesu.