Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

17. Urithi 2

URITHI WA ADAMU MICHEZO YA REDIO

17. Urithi 2

Anne Gihlemoen

Katika sehemu iliyopita tumesikia jinsi Bwana Yesu alivyowatimua wafanyabiashara waliogeuza nyumba ya baba yake kuwa pango la wanyang'anyanyi. Sasa anaendelea kufundisha na kufanya miujiza mikuu. Watu wengi wanaendelea kumwamini na kumfuata. Ni wakati huu pia ambapo watawala walizidi kukasirika na kuamua kumkamata Yesu. Yesu aliwaambia “Mmekuja kunikamata kwa mapanga na marungu kanakwamba mimi ni mnyang´anyi”. Nini kiliendelea? Karibu kusikiliza kipindi hiki.

Urithi_Radio_17.jpg