5. Agano 3

Urithi wa Adamu - Agano 3
Hammerson Luhanga na Roger Gihlemoen

Mungu anamtokea Abramu na kuweka Agano naye. Agano la kumpa uzao kupitia mke wake Sarai. Mungu anamwambia "Sarai mke wako, hutamwita tena Sarai, bali kuanzia sasa utamwita Sara! Nitambariki, na atakuzalia mtoto wa kiume, naye atakuwa taifa, mataifa yatatoka kwake". Karibu kusikiliza kipindi hiki.

Agano_Radio_05.jpg
Previous
Previous

6. Agano 4

Next
Next

4. Agano 2