4. Agano 2

Urithi wa Adamu - Agano 2
Hammerson Luhanga na Roger Gihlemoen

Katika Agano 2 ni jinsi Abramu alivyopata mtoto kupitia Hajiri. Malaika alimwambia Hajiri, "Ninataka kufanya uzao wako uwe mwingi kiasi kisichohesabika. Hajiri, Unangojea mtoto, na atakuwa mtoto wa kiume. Jina lake utamwita Ishmaeli". Yaani Mungu anasikia. Karibu kusikiliza.

Agano_Radio_04.jpg
Previous
Previous

5. Agano 3

Next
Next

3. AGANO 1