Ushuhuda wa Dorena Jakobo 2/2 - Wanawake wa Imani

Dorena Jakobo, "Mama Eliyah", ni mtoto mdogo katika familia yake na amekutana na vikwazo vingi maishani, hata hivyo, baba yake mzazi aliokoka kupitia yeye. Sikiliza na utabarikiwa na ushuhuda wa Dorena Jakobo.

Hii ni sehemu ya pili katika ushuhuda wake. 

Ushuhuda wa Dorena Jakobo kip 2:2
Soma Biblia

Ili kusikiliza kwa njia ya Youtube, bofya hapa

Previous
Previous

Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5