Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5

Dorena Jakobo, "Mama Eliya", alilelewa katika familia ya kipagani, lakini yeye na dada yake walivutwa na mambo ya kanisani. Na bila wazazi kujua, wakaenda kusali na baadaye wakabatizwa. Lakini hata kama aliokoka wakati wa utoto, Dorena alipokua, alikuja kuishi nyuma ya Neno la Mungu, na kukaa katika ndoa mbaya. Sikiliza jinsi Dorena alikuja kuokoka tena. Ushuhuda wa Dorena unaonyesha jinsi ya kukaa karibu na neno la Mungu, kunavyoweza kukuongoza kwa usalama unapopitia changamoto ngumu zaidi. 

Hii ni sehemu ya kwanza katika ushuhuda wake. 

Ushuhuda wa Dorena Jakobo kip 1:2
Soma Biblia

Ili kusikiliza kwa njia ya Youtube, Bofya hapa

Previous
Previous

Mwanamke Msamaria anawekwa huru na Yesu - Kip #4

Next
Next

Ushuhuda wa Dorena Jakobo 2/2 - Wanawake wa Imani