Elimu ya Imani, Imani Cathbert Msemo Elimu ya Imani, Imani Cathbert Msemo

Msingi wa Imani

Ni hazina kubwa kwa wote wanaotaka kufahamu ukweli wa Imani ya Kikristo. Kimeandikwa na profesa wa theolojia mwenye fokasi ya Kiinjili na kwa lengo la kumwezesha msomaji kushuhudia, Namjua yeye nimwaminiye! Ni kitabu cha lazima kwa kila aliye na huduma ya kufundisha kanisani.

Read More