Ushuhuda wa Michael Darushi kutoka Rufiji

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
— Mathayo 11:28
Ushuhuda wa Michael - Anabadilisha huzuni kuwa furaha
Vivi Agerbo Jørgensen

Karibu usikilize ushuhuda Huu wa Michael kutoka Rufiji utakaokutia nguvu na kukupa hamu yakuendelea kumpenda na kumtegemea Mungu pamoja na kufanya kazi ya kueneza Injili ili wengi wamjue Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

Next
Next

USHUHUDA WA MWINJILISTI NOAH LOMAYANI - KKKT MWENGE DAR ES SALAAM