Ushuhuda wa Michael Darushi kutoka Rufiji
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha (Mathayo 11:28). Karibu usikilize ushuhuda Huu utakaokutia nguvu na kukupa hamu yakuendelea kumpenda na kumtegemea Mungu pamoja na kufanya kazi ya kueneza Injili ili wengi wamjue Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao.
USHUHUDA WA MWINJILISTI NOAH LOMAYANI - KKKT MWENGE DAR ES SALAAM
Tazama Yesu anaweza, Mwangalie Yesu anatenda, Mwangalie Yesu anaweza na atakuvusha katika pito embalo unapitia, chida unayopitia Mungu anaweza.
Karibu kusikiliza ushuhuda wa Mwinjilisti Noah kutoka KKKT Mwenge Dar es Salaam
Ushuhuda wa James Sabuni 'Maongozo ya Mungu ni sahihi kuliko yale ya Wanadamu'
Karibu kusikiliza ushuhuda wa James Sabuni. Mstari huu wa Biblia anaupenda na ametushirikisha sisi sote tunaosikiliza ushuhuda wake. ‘Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake’ Zaburi 27:4
Ushuhuda wa Irene Andrew Mwanjela
Katika shida yangu nalimwita Bwana; Bwana akanijibu akaniweka panapo nafasi.
Zaburi 118:5
Ushuhuda wa Agrey Hezron Polepole
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake. Zaburi 27:4