USHUHUDA WA MWINJILISTI NOAH LOMAYANI - KKKT MWENGE DAR ES SALAAM

Ushuhuda wa Mwinjilisti Noah kutoka Dar es Salaam
Vivi Agerbo Jørgensen

Mwinjilisti Noah Lomayani anahudumu katika Kanisa la KKKT Mwenge, Dar es Salaam, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Ametushirikisha ushuhuda wake mzuri unaotutia moyo kuendelea kujenga maisha yetu katika Yesu Kristo.

Ukimjua Yesu ndani ya maisha yako unakuwa na furaha, amani na upendo. Ukiwa na Yesu utakula mema ya nchi.
— Mwinjilisti Noah

Mwinjilisti Noah akiwa na Vivi Agerbo Jørgensen mfanyakazi wa Soma Biblia

Previous
Previous

Ushuhuda wa Michael Darushi kutoka Rufiji

Next
Next

Ushuhuda wa James Sabuni 'Maongozo ya Mungu ni sahihi kuliko yale ya Wanadamu'