Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

12. Mkuu wa Amani 1

URITHI WA ADAMU MICHEZO YA REDIO

12. Mkuu wa Amani 1

Anne Gihlemoen

Ni miaka elfu moja imepita tangu Mfalme Daudi alipofaulu kuwakusanya watu wa Israeli wawe kitu kimoja. Mungu alimuahidi Daudi kuwa ufalme wake utadumu hata milele, ila sasa hivi kuna shaka kama ahadi hii itatimizwa. Kwa maana hayupo Mfalme wa Israeli wakati huu, bali nchi inatawaliwa na dola katili ya Kirumi. Lakini Mungu hamhitaji Mfalme ili Mkuu wa Amani azaliwe, kwa maana huyo atakuwa ni Mwana wa Mungu. Yatosha awepo tu mwanamke wa ukoo wa Daudi ambaye ni yu tayari kumzaa mtoto huyo, na mwanamume wa kuwatunza vizuri. Sikiliza kipindi cha kwanza kuhusu mkuu wa amani atarajiwa.

MkuuWaAmani_Radio_12.jpg