Ushuhuda wa James Sabuni 'Maongozo ya Mungu ni sahihi kuliko yale ya Wanadamu'

NIMEMWONA MUNGU AKIWA PAMOJA NA MIMI
James Sabuni

James Sabuni ni mhariri hapa Soma Biblia. Ametushirikisha ushuhuda huu unaotutia moyo katika kumtumikia na kumtegemea Mungu pekee katika maisha yetu yote. Amepita katika changamoto mbali mbali lakini hakumwacha Mungu na Mungu ameendelea kuwa pamoja naye katika vipindi vyote vya magumu na hata wakati wa furaha. Anapenda zaburi hii ya 27 hasa mstari ule wa 4. Karibu kusikiliza ushuhuda huu mzuri.

Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.
— Zaburi 27:4
JAMES SABUNI - Mhariri Soma Biblia

JAMES SABUNI - Mhariri Soma Biblia

Previous
Previous

USHUHUDA WA MWINJILISTI NOAH LOMAYANI - KKKT MWENGE DAR ES SALAAM

Next
Next

Ushuhuda wa Irene Andrew Mwanjela